taja japo phamacy 1 zilipoHii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 tu na inakaa mwilini kwa muda mrefu na unaweza tumia mara moja tu na ukasahau kuwa ulikuwa na tatizo la nguvu usitumie SILDENAFIL(viagra) si nzuri sana ina madhara mengi!acheni kwenda kwa waganga wanaowapa mavumbi ya mbao mashine mnabwia kama walevi wa unga!!
hahahaaaaah biashara matangazo,
dawa ya nguvu za kiume iwapo zimepungua ni vyakula vya vitamini E, kama Ufuta, Maboga kwa gharama nafuu, hayo makemikali yatakufanya uwe tegemezi na mtumwa milele, labda kama huna kabisa hizo nguvu za kiume, lakini kama ni swala la kuboost, achana na takataka za viwandani, nenda vitu natural utawakimbiza mtaani kwenu warembo hadi wakukome , Heshima juu.
Dozi ni kidonge kimoja kwa wiki na bei inarange kati ya elfu nane na kumi kwa kidonge
hiyo dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 inasaidia nini katika mwili wa binadamu? anayetakiwa kutumia ni nani Mwanamke au mwanamme?Hii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 tu na inakaa mwilini kwa muda mrefu na unaweza tumia mara moja tu na ukasahau kuwa ulikuwa na tatizo la nguvu usitumie SILDENAFIL(viagra) si nzuri sana ina madhara mengi!acheni kwenda kwa waganga wanaowapa mavumbi ya mbao mashine mnabwia kama walevi wa unga!!
Na bangi misokoto mingapi vile......?piga msosi vizuri, mlo kamili na safi. Pata kitimoto rost na bia mbili jioni. Jenga afya vizuri. Ndo dawa ya nguvu mkuu. Hayo machemical yawe kimbilio la mwisho.
hiyo dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 inasaidia nini katika mwili wa binadamu? anayetakiwa kutumia ni nani Mwanamke au mwanamme?
kuna jamaa kani PM kutoa ushuhuda kuwa tangu ametumia ameweza kusimama kwa miguu mitatu na kwenda raundi nne kwa usiku mmoja mwengine atoe ushuhuda wake hapa
taja japo phamacy 1 zilipo
Hii si viagra ambayo inaleta maumivu ya kichwa,mafua na kupeleka mapigo ya moyo kasi na kudumu kwa muda mfupi mwilini.ukifk duka la dawa haswa yale makubwa siyo ya dawa baridi ulizia TADALAFIL(levitra) hii ina mg 20 tu na inakaa mwilini kwa muda mrefu na unaweza tumia mara moja tu na ukasahau kuwa ulikuwa na tatizo la nguvu usitumie SILDENAFIL(viagra) si nzuri sana ina madhara mengi!acheni kwenda kwa waganga wanaowapa mavumbi ya mbao mashine mnabwia kama walevi wa unga!!