unamchukuliaje mtu mwenye dread kichwani…?!!

Unamchukuliaje mwenye dread kama muhuni wakati waliopo magereza wana vipara?

Hao wanaoshinda kanisani ambao mnawaona wanaheshima ndy wapuuzi huku mtaani.

Huwezi muexplain mtu kisa hairstyles ifikie mahali hii kasumbaa muiache kama ulivoacha kusikiliza msondo ngoma sahivi mnamsikiliza Bieber na lil pump (mzee wa fvnckg fvnckng).
 
Hizo s dreadlocks aseee, n wamesuka mavitu kichwani.
 
koment yako nmeipenda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa ukute hizo dread ni chafuu yan zimekua nyekundu alaf ndio bodaboda huyo,, kavaa kinjunga cha jinsi ukikisimamisha kinasimam aseee boda yake ina mlio kam chopper mbov alf anaendesha amekaa tako moja speed 120,,,

hicho ni kiwango kikubwa sana cha uhuni na kuporomoka kwa maadili.
 
Punguza ubishi..
Kiufupi umezingua..habari za hereni anzisha uzi.
Unaleta utoto
 
Siku hizi vijana wanataka kuwa kama mabinti ndio maana wanaweka dred wanatoboa maskio



Huko mtaani maskani akija kijana kasuka dred mtimueni akikataa kuondoka mtieni kidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…