unamchukuliaje mtu mwenye dread kichwani…?!!

Saloon wanajaa hawa, ukienda unasubiri foleni. Wanajua mpaka nywele za kuongeza. Kuna expression, Afro Kinky, human hair nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuchana nywele ni another underrated talent kwa kweli, japo mie sifagilii dreads zile kama kichaa. [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani mwanaume kuvaa hereni, ki maadili ikoje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi vijana wanataka kuwa kama mabinti ndio maana wanaweka dred wanatoboa maskio



Huko mtaani maskani akija kijana kasuka dred mtimueni akikataa kuondoka mtieni kidole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Kwanini umeweka picha za hao island boys? Hizo zao si hata locs, in madude tu kichwani.

2. Watu Wenye locs tuna tabia tofauti tofauti. Wahuni wastaarabu, wote wamo.
Nywele hazitupi uniformity yoyote kitabia.
Wamepata fame kizembe Sana ani kizazi cha kina 69 upuuzi mtupu .
 
Ilivyozoeleka kijamii ni uhuni /Tania Mbaya ila Mimi siishi kimazoea.
Ninao Wana mabrothers Wana dreads ila ni wastaarabu na Wana heshima mno.
Uhuni upo rohoni siyo nje.

Ila hai island boys watoe
 
Kimaadili haileti picha nzuri labda kama upo katika zone ya kimasai
Khaaaah ko masai wa kiume ni halali kuvaa hereni? Ila wa zone nyingne ni tatizo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupatwa kwa maadili woiiiiiiih
 
Watu makini Ila zisiwe hizi zakuchonga saluni kwawale halisia Kama za Bob au luckdube au petertosh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…