Unamfagilia nani kati ya recycle bin vs kichwa kichafu

Unamfagilia nani kati ya recycle bin vs kichwa kichafu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Na clear interest kwanza me nawakubali kinyama wote Hawa ndugu zangu recycle Bin na ndugu Kichwa Kichafu au mnaonaje si tuwape madini na connection Hawa vijana Ili Wapate kusumbua kidogo huko mbeleni au mnasaje tuwape hata Malike

Ila jamani shukrani kwa kina Mello, mshana, 911, KikulachoChako, wax, mrangi, wax, wakudadavua, na wengine woteeeee wote woteeeee nawapenda na nawatakia Mwezi march mema na nawatakia kila la hera siwaagi lakini nawatakia mavuno mema wote waliowekeza muda wa mavuno umefika tukazeni tulipe madeni ya watu.kila mtu ampende jirani yake hahahaha!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini unauliza jibu badala ya swali? Je ndivyo hivyo vichwa vichafu au recycled ones? Nataka kujua tu. Hivi ulijiuliza kabla ya kuuliza au kuwaza kabla ya kutaka mawazo?
 
Back
Top Bottom