Unamfaham Professor God? Ona hiki alichowafanyia hawa wadudu

Unamfaham Professor God? Ona hiki alichowafanyia hawa wadudu

proffesa issa

Senior Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
118
Reaction score
51
Wadau,

Leo nimeamini kweli Sir Prof God ni wa ajabu sana! Kumbe bhana wadudu jamii ya mchwa au sisimizi huwa hawalali kabisa katika maisha yao yote ya hapa duniani! Vipi wewe ulikuwa unafahamu kitu kama hiki?
 
kwani wana uwezo wa kuishi muda gani???mana nzi hata kama halali yeye life cycle yake ni 7 days tu
 
na je ulikuwa unajua mende ukimkata kichwa anakufa baada ya siku 2 hadi 5 au zaid kidoogo na kufa kwake ni kwa sababu atashindwa kula so atakufa kwa njaa na wala sio kwa sababu umemkata kichwa...jaribu kujikata kichwa wewe binadamu alafu uje hapa jf utupe mrejesho
 
kwani wana uwezo wa kuishi muda gani???mana nzi hata kama halali yeye life cycle yake ni 7 days tu

Nimecheka sana inawezekana kutokana na life span yao ikawa hamna haja ya kulala ili watimize ndoto zao mapema mana maisha mafupi,but nahisi queen analala maana yeye analife span ya miaka 25
 
[TD="width: 429"]Wanalala but not the way we do, because insects don't have eyelids, so they can't close their eyes!!.
[/TD]
 
haahaaaaa duu kumbe jukwaa hili tamu namna hii, nitajisajili rasmi niwe natembeleaga huku, kule rusha roho kumezidi hasa siku hizi.
 
wazo lako zuri la ata siku moja usijaribu kumpa Mungu cheo cha wanadamu
 
Huku kutamu aisew,kule ni vita,majigambo na sisa
 
na je ulikuwa unajua mende ukimkata kichwa anakufa baada ya siku 2 hadi 5 au zaid kidoogo na kufa kwake ni kwa sababu atashindwa kula so atakufa kwa njaa na wala sio kwa sababu umemkata kichwa...jaribu kujikata kichwa wewe binadamu alafu uje hapa jf utupe mrejesho

aiseeee!!!!!!!!
 
Wadau,

Leo nimeamini kweli Sir Prof God ni wa ajabu sana! Kumbe bhana wadudu jamii ya mchwa au sisimizi huwa hawalali kabisa katika maisha yao yote ya hapa duniani! Vipi wewe ulikuwa unafahamu kitu kama hiki?

Usimfananishe mungu na maprofesa wetu kama kina muhongo hafananishwi na chochote
 
urefu wa dna ya binadam katika cell ni mita mbili na binadamu tumeumbwa na trillions of cells so ukiziunganisha dna zooote urefu wake ni sawa na kutoka hapa hqdi kwenye mara 675
 
Back
Top Bottom