proffesa issa
Senior Member
- Jan 6, 2015
- 118
- 51
kwani wana uwezo wa kuishi muda gani???mana nzi hata kama halali yeye life cycle yake ni 7 days tu
na je ulikuwa unajua mende ukimkata kichwa anakufa baada ya siku 2 hadi 5 au zaid kidoogo na kufa kwake ni kwa sababu atashindwa kula so atakufa kwa njaa na wala sio kwa sababu umemkata kichwa...jaribu kujikata kichwa wewe binadamu alafu uje hapa jf utupe mrejesho
Wadau,
Leo nimeamini kweli Sir Prof God ni wa ajabu sana! Kumbe bhana wadudu jamii ya mchwa au sisimizi huwa hawalali kabisa katika maisha yao yote ya hapa duniani! Vipi wewe ulikuwa unafahamu kitu kama hiki?