Wana JF hii bongo bwana, syo rahisi kutrace mtu kama huna resources za uhakika hasaa kama mtu kaamua kudanganya hapa bongo. Nauhakika huyo mtu hakutumia line iliyo sajiliwa kwa jina lake halisi nakama mkimpata basi siye aliyefanya hilo tukio manaake nimesikia hua kuna line zilizo sajiliwa, tayari kwakutmia na hua zinauzwa mitaa ya mjini, hiyo inamaanisha sirahisi kumpata huyo mtu kwanjia ya mtandao, hasa kwa facebook, google au line yake mwenyewe, lazima alichukua tahadhar zaidi kabala yakufanya hivyo!