Unamfahamuje wife material?

mbona hii ndo point inayojirudia nazani kuna shida sehemu kwa awa dada zetu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wengi wameathiriwa na malezi pia mazingira waliyo kulia , hivyo basi hadi wanawake wengi wa Tz wafikie umri wa kuolewa ( above 19 yrs )[emoji654][emoji654][emoji654] wanakuwa na chuki , husuda , wivu kupitiliza , tamaa na pia roho mbaya isiyo na mfano )

HIVYO BASI AKILI IKISHAINGIWA NA HAYO MAVITU ABOVE binadamu anakuwa siyo timamu tena.(fe)
 
kweli kabisa kwa umri huo inaitaji akili ya ziadi kukabiliana na hayo ma vitu
 
From wife material to raw material


Umetisha!!!
 
hahahahahahaha kmmmmmk
 
Hizo sifa zote ninazo ila shida nyota yangu haijawaangukia nyie niliwahi jiuliza why sipati mume nakasoro gani naninakila kitu .

Halaula jibu nimelipata kumbe rangi zenu sina nyota nazo .
Laiti ningelijua mapema hata jf nisingeijua
 
Habari wanabodi wa MMU,

Hivi ni kigezo gani wanaume wanakitumia kusema huyu mwanamke ni wife material?
Mara nyingi wanaume tunaponzwa na kuendekeza ngono tunapotafuta wenza.
Ni ngumu sana kupata wife material haraka haraka wakati mwingine unahitaji tu kuwa na bahati.
Ni wakati sasa wa kuwafundisha watoto wetu kujifunza kudevelop good friendship kwa sababu kupitia urafiki huo ndio tunawezat kutambua kuwa huyu ni mtu bora wa kufanana naye
Kwa yule ambaye anatafuta wife material anapaswa kuwa mvumilivu na kutokuwa na haraka ya ngono,
Jambo la msingi ni kuwa na mahusiano ya kawaida kwa mtu/ msichana unayemtaka.
Na unatakiwa kuwa mwangalifu katika kipindi hicho hutakiwi kuonesha hisia zozote kuwa unamhitaji.Hapo itakuwa rahisi kuweza kufahamu mazuri yake na mabaya yake
Bahati mbaya wanaume wengi tukimwona msichana tunatanguliza ngono.
 
Hizo sifa zote ninazo ila shida nyota yangu haijawaangukia nyie niliwahi jiuliza why sipati mume nakasoro gani naninakila kitu .

Halaula jibu nimelipata kumbe rangi zenu sina nyota nazo .
Laiti ningelijua mapema hata jf nisingeijua
mbona umefuta ule uzi bibie ? urudishe
Tatizo watu hapa waliugeuza ule uzi kama fimbo ya kumchapia huyu mwali. Yani hata akiandika jambo la maana, wengi humuhukumu kuoitia uleuzi...๐Ÿ˜‚.
Basi nilianza kumuona akiwa mnyonge na akaikosa amani na uhuru wa kuandika hapa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ