Unamfanyia nini rafiki ,anayekujaza upigwe Kama yeye alivyopigwa na wahuni

Halaf cha kushangaza ukisema huna wanakasirika na inawezkana wanakutukana kabsa.
Utasikia mm ni branch manager sijui wann yani pumba tupu, kuna manzi mmoja juzi kati hapo alinitafuta fb tulisoma nae advance nashangaa ananichangamkia balaa kumbe mwshoni ananiambia ujinga huo na sijui niende ofisni huko sijampokelea simu tena...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa good morning ni noma
 
Halafu anayekuvuta ni mwanao kabisa yani
 
Halafu anayekuvuta ni mwanao kabisa yani

Daah we acha tu hapo mwanao kapigwa anatafuta boya mwenzie


kuna demu alikuwa aniniletea pigo za global chuo nilikuwa. nae kozi moja namb yang aliichomoa kwenye group LA wasap LA class .ye akiingizia global mi naingizia mapenzi 😂😂

tulishia kuwa couple tu na global yenyewe sikujiunga ye anajilaumu mpaka Leo kwa pesa aloitupa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee,ulimweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…