Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

Unamiliki jembe la mkono Karne ya 21?

Sio kweli, tukihamia kwenye large scale farming watu watapungua kwenye kilimo wataenda kufanya kazi nyingine
Hatufanyi large scale farming.. familia nyingi zinalima hela 1 au 2 tu na zinatosha kuuza kwa watu wengine. Tukifanya large scale hapa vyakula vyote vinaoza.
 
Ninalo na niko mjini. kulima eneo kubwa sio kupata mavuno mengi. nafanya smart farming.
 
Jamani mbona mie hawajaja kunihesabu??
Nisije nikakosa mgao [emoji134]
 
Wakati wenzetu wanazungumzia mapinduzi ya viwanda awamu ya 5 (5IR Wala si 4IR) sisi tunaulizana umiliki wa jembe la mkono?!
Utaondakaje ktk jembe la mkono kama huna takwimu za wanaotumia jembe la mkono kwa nchi nzima? #Tunadhani hilo swali halina mantiki kumbe hoja zetu mitandaoni ndizo hazina mantiki.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom