Fuqin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 306
- 625
Hello!! Niaje wadau... kama kichwa cha habari kinavyosema... unamiliki usafiri gani kama huna usafiri tuambie ndoto zako za usafiri gani unaotaka kumiliki ukipata mshiko... nikianza na mimi namiliki pikipiki Tvs 150 ni kwa ajili matumizi yangu binafsi sio bodaboda... naitumia kwenda job na kurudi home na visafari vyengine... Maisha ni murwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app