Unamiliki usafiri gani??

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Hello!! Niaje wadau... kama kichwa cha habari kinavyosema... unamiliki usafiri gani kama huna usafiri tuambie ndoto zako za usafiri gani unaotaka kumiliki ukipata mshiko... nikianza na mimi namiliki pikipiki Tvs 150 ni kwa ajili matumizi yangu binafsi sio bodaboda... naitumia kwenda job na kurudi home na visafari vyengine... Maisha ni murwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namiliki mkeka ambao Totenham wameuchana kwa mfano hivi vitu vidogo vidogo vinavyohusishwa na Stigler's gorge unadhani hii ni chupa ya chai?
 
Namiliki njenje moko ya gear ndio huwa naingia nayo bakta kwenye mbishe zangu na kufanyia tizi.

Natongozea pia maana ni kitu OG nilipewa na mtasha kutoka Vancouver. Mamrax wanaimind kikuzi.

🏃🏃🏃🏃
 
Home boy unazingua Kiduu aseeh.!!unaimbishia mamyloo kwa kutumia njenje?hehe.but fresh haiko rekwe dingilai
 
Aisee mimi ni mmiliki halali wa Mkokoteni wa kisasa unabeba mizigo balaa yani,yaani iko poa kabisaaa
 
Natumia miguu na naimiliki kihalali,naishukuru serikali ya Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…