donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Sasa mbona kanyaboya imepewa maana ya kudanganywa au kupigwa fix au kuzidiwa kete
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha uyo ndo babaake dula mbabe
[emoji23][emoji23][emoji23]Jina lake ni Ringbarier Kanyaboya,alikuwa tapeli tu hajui ngumi kabisa ndiyo maana alichakazwa kinoma, ndiye katuachia huu msamiati wa neno kanyaboya.
HahahaKumbe ndio chanzo cha kila kitu cha hovyo kuitwa kanyaboya..
Hata kama hakupata ushindi at least katuongezea neno kwenye kamusi yetu.