Kijamba Koti
Member
- Jun 1, 2012
- 12
- 0
Mbona haeleweki mtu mwenyewe?nafanya Bsc. in Computer Science (UDSM) na nilichagua hii course coz ninajua zaidi kuhusu hardware (ningefanya Computer Engineering and Information Technologies kama nilitaka hardware) na nilikwepa Electronic Science and Communication mainly coz mitandao na minara dont interest me
nina hata mmoja that i think ni better than nyingine?? hapana, i think zote more or less ni the same ni branches tofauti tu za ICT. ni sawa na kufananisha corporate na criminal law. ziko tofauti, lakini huwezi sema moja ni ngumu kuliko nyingine kwasababu basics ni the same
i hope nimesaidia
Mbona haeleweki mtu mwenyewe?
1.ANASEMA - nafanya Bsc. in Computer Science (UDSM)- ambayo more than 80% ni software
2.ANASEMA-(ningefanya Computer Engineering and Information Technologies kama nilitaka hardware) sawa
SASA SWALI LAKO NI LIPI?
wataalamu na Software Engineering Mnaidadavua vipi?
Mbona haeleweki mtu mwenyewe?
1.ANASEMA - nafanya Bsc. in Computer Science (UDSM)- ambayo more than 80% ni software
2.ANASEMA-(ningefanya Computer Engineering and Information Technologies kama nilitaka hardware) sawa
SASA SWALI LAKO NI LIPI?
nafanya Bsc. in Computer Science (UDSM) na nilichagua hii course coz ninajua zaidi kuhusu hardware (ningefanya Computer Engineering and Information Technologies kama nilitaka hardware) na nilikwepa Electronic Science and Communication mainly coz mitandao na minara dont interest me
nina hata mmoja that i think ni better than nyingine?? hapana, i think zote more or less ni the same ni branches tofauti tu za ICT. ni sawa na kufananisha corporate na criminal law. ziko tofauti, lakini huwezi sema moja ni ngumu kuliko nyingine kwasababu basics ni the same
i hope nimesaidia
Haya haya wadau,nimeamua kuleta mada hii baada ya kujitokeza kaubishani kidogo somewhere juu ya nani zaidi katika sekta ya ICT kati ya IT geek,injinia wa computer,mwanasayansi wa computer au injinia wa mawasiliano(telecom)!Kama wewe ni mmoja wapo hapo au una mchango wowote,hebu funguka with SCHOOLED FACTS and tell me who's the best and why?