Unamjua mnyama Pimbi?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721

Pimbi kwa kiingereza anaitwa Hyrax au rock burger.

Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya. Ni kuamua kujichosha tu.

Ukiitwa Pimbi pigana[emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Ana meno kama mkamia
 
Pimbi handsome, ana mwanya
 
Mapimbi wengine ni wanaong'ang'ania Arsenal,,
Watu wanahama dini seuze timu...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…