Unamjua Yusuf Said Salim Bakhresa

Unakwenda kwa shida gani?
Kuomba?
ushauri?
shida?
Ninayo no. yake ila hadi nijue shida yako isije kuwa ni kwenda kumsumbua mzee wa watu.
 
Haya maelekezo yamenifikisha mpaka getini kwa Yusuf wanaangalia na JK, nipo getini mlinzi kasema hana mamlaka yakuniruhusu au nimpigie simu Yusuf. Mwenye namba yake naiomba inbox.

Shukrani kwa wote
Kwa nini hukumuomba mlinzi namba ya Yusuf? au hana mamlaka ya kutoa namba? Ulimueleza shida yako ya kuonana na Yusuf ?
 
Haya maelekezo yamenifikisha mpaka getini kwa Yusuf wanaangalia na JK, nipo getini mlinzi kasema hana mamlaka yakuniruhusu au nimpigie simu Yusuf. Mwenye namba yake naiomba inbox.

Shukrani kwa wote
Mkuu Kama una Nia kaa getini mpaka kieleweke
 
Haya maelekezo yamenifikisha mpaka getini kwa Yusuf wanaangalia na JK, nipo getini mlinzi kasema hana mamlaka yakuniruhusu au nimpigie simu Yusuf. Mwenye namba yake naiomba inbox.

Shukrani kwa wote
Mtie elfu kumi huyo mlinzi atakupa namba then mwambie hutamtaja
 
Kama ni business idea jitahidi uwe na project nzima ikiwa kwenye paper mkuu.... Wenzetu hawaamini porojo za mdomo bila kuona project na kucalculate risk......Ila kuna brother hapo ameshauri ukae getini mpaka kieleweke kama kweli unania kaa hata siku nzima atashawishika kukusikiliza.
 
Wazo nzuri
Nenda kwa dadaake pale Haile Selassie kuna residential house with Arabic architecture nimesahau plot no, mwambie akuwezeshe kuonana na ndugu yake.
Wazo zuri haile eneo lipi.(kituo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…