Unamkana Allah, lakini unajiita Mwana Adam?

Watu wengi humu ukiwaletea mada inayohusu Dini hasa uislamu utawakuta wanajibu kwa chuki na jazba badala ya kutumia AKILI ,
 
Hivi huyo Allah ndio Jehova? Mungu, Almighty God?
Maana anasifa tofauti na God tunayemjua!
Huyo allah alipotaka kuleta ujumbe wake kwa wanadamu, akachagua mtu mjinga(Mohammed PBUH, hakujua kusoma wala kuandika) kuleta ujumbe, alipokuwa na mashaka,Mke wake, ambae ingekuwa Leo, ni mshangazi wake, ndio ukamsisitiza Mtume,aamini kuwa ujumbe ni wa, Mungu!
Na, huyo allah akataka watu wote lazima wausome msaafu kupitia ki Arab!
 
Naomba jibu
Allah anaitwa nani?
Narudia tena Kuna miungu mingi sana na yote Ina majina yake:
Allah wa Qurani, yaani Mungu wa Waislamu Mtume wake Muhamadi Jina lake ni nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…