Unamkataliaje rafiki?

22nd

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2010
Posts
494
Reaction score
137
Hello, need ur help guys

Nina rafiki ambaye tumekutana chuo, toka nijuane nae is about 2 years now, siwezi kusema ni best friend coz simjui ki undani, ila most of the time tukiwa campus ndio mtu ninaye ongea nae, doing discussions together.He so gud friend to me

now ni kama miezi 6 ameanza kunisumbua kimapenzi, nimejaribu kumkatalia kiistaarabu bila ya kuvunja uuhusiano wetu ila haelewi, ana hope kuna siku nitakubali.


VIGEZO VYA KUMKATAA
1: Sipendi kutoka na mtu ambaye nasoma nae au nafanya nae kazi
2: Im 2 busy(sipo tayari kuwa na uhusiano at this time(relationship holiday)
3: Simtamani kimapenzi hata kidogo(im not into him)
4: Ana makalio makubwa kama mwanamke
5: Ana kitambi
6:Meno yake yana weusi weusi kama mvuta sigara(havuti sigara)
the last one(he is from congo, i prefer black skin from bongo land)

Kigezo cha 1,2 na mwisho nimemwambia, ila hivyo vyengine siwezi kumwambia.Nifanyaje ili kuepuka kero?? bila ya kum hurt??

mbaya zaidi kuna sehemu ya kazi ananiunganishia This june.😛ray2:
 
Duh hapa sijui nikushaurije, ila ni bora tu umwambie huwezi kwa sasa ili umweke huru kimawazo
 
Kigezo chako cha 4,5 na 6 kimenichekesha! Hahahaha!
We mzungushe zungushe tu hadi mwenyewe atachoka.
 
namba 4 na 5 umenchekesha! Mwambie tayar unae umpendae na huwezi kumsaliti. Mwambie aache kuksumbua hata kama anaungansha kaz isiwe taaaabu!!
 
Kwa kifupi HUMPENDI, ungempenda hivyo vigezo vyako vyote vingekosa maana, na nadhani usingevisema. Mwambie ukweli kwamba unampenda (like) kama rafiki wa kawaida na si kimapenzi (love).
 

Vigezo vyako vimejaa utata mtupu . . .
Mara humpendi kwa vile ni mkongo, mara uko busy sana, mara ana makalio kama mdada????
Sasa tuelewe lipi???
 
Mwambie hajakidhi viwango kwa mujibu wa vigezo ulivyojiwekea, lol
 
Vigezo vyako vimejaa utata mtupu . . .
Mara humpendi kwa vile ni mkongo, mara uko busy sana, mara ana makalio kama mdada????
Sasa tuelewe lipi???


we nawe wa wapi? unaweza kuwa na vigezo hata mia moja vinavofanya usimtake mtu.
hivyo vyote ukijumlisha ndio sababu zangu za kutomtaka
 
namba 4 na 5 umenchekesha! Mwambie tayar unae umpendae na huwezi kumsaliti. Mwambie aache kuksumbua hata kama anaungansha kaz isiwe taaaabu!!

kumbuka ni rafiki yangu, anajua kuwa im full time single
 
we nawe wa wapi? unaweza kuwa na vigezo hata mia moja vinavofanya usimtake mtu.
hivyo vyote ukijumlisha ndio sababu zangu za kutomtaka

Vigezo vilivyo kamili havijichanganyi.
Kama ni kwa sababu ana makalio makubwa na meno meusi basi iwe hivyo.
Kama huwezi kuwa na mahusiano kwa sasa basi iwe hivyo, isichanganywe na kusema ana makalio makubwa au meno meusi.
Kama hauko tayari kimapenzi kwa sasa na mtu yeyote, ya nini umchambue mwili wake????

Ila jihadhali sana na VIGEZO MUONEKANO
Isitoshe usimdhihaki mtu na kukosoa ukamilifu wake kama vile sio binadamu mwenzako
Hata wewe haujakamilika, una madhaifu yako
 
hahahahahahhhahahahha hivyo vigezo vyako sipati picha.....hasa 4,5,6
 


mnh wewe nawe hujui kuna vigezo katika kumkubali au kumkataaa mtu?
mbona hata humu huonagi,mchumba awe na vigezo hivi 1,2,3
hivyo hivyo ukimkataa mtu kuna vigezo ndugu.
 


Mzuanda inaonesha muonekano wa jamaa ndio umechukia nafasi kubwa kua out of consideration mana sababu nne zote zinaelezea muonekano wake, sababu tano zote zinaonesha ikiwa kunyume hio ya pili unaweza potezea. Ushauri wangu mwangalie with new eyes (mana sometym ni bora kua na a guy ambae waschana wenzio c rahisi kumshobokea-kama umempenda lakini). But kama kweli bado humpendi muite na fuata hizi hatua.
1. Hakikisha siku hio umeonana nae ktk mazingira yenu ya kila siku kua normal na usimwambie lolote.
2. Piga cm jion kwake ukimweleza kwa ufupi kua kuna kitu kinakuumiza sana moyo, muombe umtoe lunch kesho yake hapo hapo katika mazingira mloyazoea/ ukienda sehem intimate ata mis interprete.
3. Onesho you are very down kesho yake ukionana nae (yani akusome kweli u are not happy)
4. Mkisha kaa mnakula (bt i thnk having a drink ni poa zaidi utaangalia mwenyewe) mwambie
" X sijawahi kua narafiki wa kiume, na na enjoy sana urafiki wetu na company yako in particular. Wazo la kutaka tuwe intimate C baya sana lakini inaniuma sana for I would loose you as a friend na sitaki kamwe iwe hivyo-naamini you understand me better hivyo naomba tumia kunieliwa kwa kuelewa kwanini sitaki. Naomba ukafikirie nilokwambia when ur a ready to accept then call me"
5.Fikisha ujumbe kwa ufupi ondoka, ukiongea maneno mengi utajifunga, usimpe nafasi kabisa ya yeye kujieleza.

Cna guarantee kua it will work but jaribu.
 
Mwanaume ana figa no. 8 teh! teh! teh!
 

duh, inaonyesha una uzoefu wa kubreak heart silently.
 
Duh! Umemchambua vizuri na nina hakika kama anakupenda hahitaji kukuchambua ww namna ulivyo na mwonekano wako kwa mwingine.
Nadhani mweleze ukweli na endelea kuchagua :sleepy:
 
Vigezo vyote vinakuja coz humpendi. Kama issue ni kitambi, si atafanya mazoezi? Na kama ni ukongo mwambie ajiite nigga (black american).
 
This is unfair....humpendi hata kama rafiki....hata kama simtaki rafiki yangu kimapenzi siwezi kum describe hivyo....eti ana makalio makubwa sijui nini....simply HUMPENDI huyo kaka na design unamtumia tu lakini hata urafiki wa kweli huna nae.....

Mwambie ukweli humpendi....period,acha kumzungusha while deep down unamuona kero kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…