Unamkataliaje rafiki?



...The truth will set you free.
Ukiendelea 'kumlea,' ipo siku hizo "nataka-sitaki" utajishtukia anakubaka na kufuatiwa na "am sorry nyiiingi!"
 
mnh wewe nawe hujui kuna vigezo katika kumkubali au kumkataaa mtu?
mbona hata humu huonagi,mchumba awe na vigezo hivi 1,2,3
hivyo hivyo ukimkataa mtu kuna vigezo ndugu.
Akitongozwa na mwenye makalio madogo na meno meupe likizo ya mahusiano itafikia kikomo?
 
Akitongozwa na mwenye makalio madogo na meno meupe likizo ya mahusiano itafikia kikomo?

he muulize!!!,vigezo anavyo kama wewe ulivyo na vyako,sioni shida ni nini hapa?
 


Niulize unatarajia ushauri wa aina gani hapa? Vigezo vyako vinajichanganya. Kigezo na 2 kina-nulfy vigezo vingine vyote. Nachoona ni kwamba umpendi huyo mjuba. Ingawaje mpaka kufikia uamuzi wake wa kukutaka after all these years napenda kuamini kuwa nawe utakuwa umechangia kwa kiasi fulani .... Nataka sitaki.....au tu swala la ku-send wrong signals. Na kwa sababu hauko straight forward ndio maana unapata shida ya kusema ukweli juu ya feelings zako.
 
mie nahisi labda kuna favours nyingi anakufanyia,ndio maana unaogopa ukifikiria kuishi peke yako bila msaada wake...
anza kujiamini unaweza ishi peke yako bila msaada wake kwanza...
 
mhh baadhi ya vigezo mie hoi,ila kumtumia kama daraja kukuvusha kwenye mafanikio hilo **** halionekani wala hayo meno ya magadi:yawn:
 
mie nahisi labda kuna favours nyingi anakufanyia,ndio maana unaogopa ukifikiria kuishi peke yako bila msaada wake...
anza kujiamini unaweza ishi peke yako bila msaada wake kwanza...


Anasubiri hadi jamaa aanze kulia.
 

hapa ndipo ninapoipenda JF,busara lukuki, sijaona umuhimu wa kuchambua maumbile
 
Mwambie "NO THANK YOU", huwezi kupenda na hujui kupenda na hivyo huhitaji muda wa kujifunza kumpenda mtu na hivyo atafute mwingine.
 
mwenzangu kitambi kianzie tumeshaoana sio kabla kama humpendi mwekee wazi ajue
 
Michelle wakati mwingne huwa unanifurahisha kwa kuwa mkweli zaidi...sema hukawii kuchange//...safi sana kale kakitufe ka like sikaoni dah
 
Dada huyu bwana humpendi kabisa, maana hata mpita njia huwezi kumsengenya kiasi hicho. hivi sisi wanawake nani alituroga? Ukweli kwenye maisha yetu hatuna kabisa ndiyo maana hata wanaume wanafikia hatua wanatuyeyusha sana kwa kujua hatunauwezo wa kusema kile kilichoko mioyoni mwetu inakuwa viceversa.

Mchane live ili urafiki wenu ufe kabisa kwa sababu hujawahi kumpenda hata siku moja. Ila jiandae kwa yafuatayo. Kuna mtu nae utatokea kumpenda the same atakuchambua hivyo na kwa sababu ni mwanaume atakwambia live bila kukuficha ili uumie, hata maumivu yako hatayavalue.

Watchout! All the best
 
Nipe namba zake za simu nimuonye. Il uwe tayari kuikosa hiyo kazi anayokuunganishia, kwani yawezekana anakuunganishia kwa ajili ya kukuweka karibu kwa huo mkakati wake wa kimapenzi.
 

Caroooo mbona unamuogopesha mtoto wa watu hivi
 
Ungekua hutaki kumuumiza usingemchambua hivi...maana angeona unavyomfikiria angekoma kukujua!Mwambie tu humtaki...usimpe habari za sijui sina muda maana anaweza kukwambij ntasubiri mpaka uwe nao!Mwambie humtaki alafu punguza mazoea nae kwa muda...kama ulikua unamtumia kwa mambo yako binfsi nayo yaweke kando usiendelee kumpa moyo kwa kutaka yake akabaki akijua iko siku utamlipa!
 

anasubiria kazi ya june cjui july, so mpe tips za kubuzia jamaa mpaka mdada apate kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…