bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hili jitu la miraba minne toka kule jamhuri ya Aradese bingwa la miondoko ya rhumba na soukous akiwa na rapa mahiri enzi hizo Bileku Mpasi akiwa stageshow wake mahiri emolo na jollybabe walitoa vibao mahiri visivyochuja kama
Yanga Africa
Mamaleki
Moyibi
Christina
Larhumba
Hidaya
Don't cry dube
Nina
Roger Miller
Nk
Hakika alizikonga nyoyo
Enzi hizo kabla ya ujio wa kina koffi,wenge.
Yanga Africa
Mamaleki
Moyibi
Christina
Larhumba
Hidaya
Don't cry dube
Nina
Roger Miller
Nk
Hakika alizikonga nyoyo
Enzi hizo kabla ya ujio wa kina koffi,wenge.