bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
sana tena sana, tuliburudika na muziki halisi na si takataka za leo eti ni muzikiHili jitu la miraba minne toka kule jamhuri ya Aradese bingwa la miondoko ya rhumba na soukous akiwa na rapa mahiri enzi hizo Bileku Mpasi ,akiwa stageshow wake mahiri emolo na jollybabe walitoa vibao mahiri visivyochuja kama
.Yanga Africa
.Mamaleki
.moyibi
.christina
.larhumba
.Hidaya
.Don't cry dube
.Nina
. Roger Miller
.Nk
Hakika alizikonga nyoyo
Enzi hizo kabla ya ujio wa kina koffi,wenge,
.
Ghani za Bileku Mpàsi zilinikosha sanaHili jitu la miraba minne toka kule jamhuri ya Aradese bingwa la miondoko ya rhumba na soukous akiwa na rapa mahiri enzi hizo Bileku Mpasi ,akiwa stageshow wake mahiri emolo na jollybabe walitoa vibao mahiri visivyochuja kama
.Yanga Africa
.Mamaleki
.moyibi
.christina
.larhumba
.Hidaya
.Don't cry dube
.Nina
. Roger Miller
.Nk
Hakika alizikonga nyoyo
Enzi hizo kabla ya ujio wa kina koffi,wenge,
.
Hazichuji hadi keshosana tena sana, tuliburudika na muziki halisi na si takataka za leo eti ni muziki
ZILIKUWA SAFI SANA AND BY THEN NILIKUWA A LEVEL, YOUNG AND ENERGETIC! IT WAS NICE AND ENJOYABLE!Hazichuji hadi kesho
Enzi hizo tunavaa suruali aina ya bugaloo yaani juu pima chini kadiria kiatu aina ya raizon ngazi tatuEnzi za kwasakwasa kwa staili za suruali Pana na kiatu Cha moka kilichopigwa kiwi kinawaka
Double double ni nyboma mwandidoMmiliki wa kibao Cha double double au duble duble,Nina,Moyibi ni nani kati ya nyboma na pepe naona wote wanaimba kwenye concert zao
Gigisana tena sana, tuliburudika na muziki halisi na si takataka za leo eti ni muziki
Hahahahah jamaa alijua mpaka keroGhani za Bileku Mpàsi zilinikosha sana