Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kaka Takumi, mkeo ulimkuta bikra? Kama hapana alikwambia namna alivyotolewa hiyo kitu?Wewe ni wakike kumbe
Ndiyo, hebu tuambie hili kwako unaonaje?Kumbe wewe ni mwanamke?
Nimekusoma, una uchungu na hilo tukio na limekuliza nlipoandika hapa.No comments
Ila ni swali zakitoto
Na ni personal
Nasubiri maoni kutoka upande wenu...Nimevuta kiti kabisa.Ndiyo, hebu tuambie hili kwako unaonaje?
Nimezalishwa watoto wanne, bado wawili, kama mila za kisukuma zinavyotakaWewe bado bikra?
Unawezaje kua nauchungu na kitu usichokijua ssNimekusoma, una uchungu na hilo tukio na limekuliza nlipoandika hapa.
Nasubiri maoni kutoka upande wenu...Nimevuta kiti kabisa.
okay kwahiyo wewe ni BIKRA, asanteUnawezaje kua nauchungu na kitu usichokijua ss
Majibu ya maswali yako ndo kama hayo
Usiteseke tuliiia kuna mengi yanakuja love
Sasa mbona hujatupatia experience yako?Nimezalishwa watoto wanne, bado wawili, kama mila za kisukuma zinavyotaka
soma uzi wa juuSasa mbona hujatupatia experience yako?
NB: mimi bado mtoto.
Aiseeeh!!Mimi nilitolewa bikra kipindi tumemaliza kidato cha sita MSALATO -dodoma tunakwenda Dar es salaam, UDSM kufanya mtihani wa Mchujo, tukafika Dar, baada ya mtihani pale nkurumah Hall, tukaenda disko pale Mwenge ukumbi wa Silent Inn, ndio mara ya kwanza kunywa na kulewa, wakaka wakatuchukulia tax wakatupeleka na wasichana wengine 2 mpaka Gesti pale Ubungo Msewe, nakumbuka NILIUCHEZEA MPAKA ASUBUHI alafu nikarudi zangu BARIADI, , huyu jamaa anaitwa ALPHONCE anafanya kazi WIZARA MOJA ambayo haijahamia dodoma kama afisa mwajiri, hatujawahi kukumbushiana tena ila natamani gemu kama ile , tatizo ndoa, siwezi toka nje tena.
Ndiyo, hebu tuambie hili kwako unaonaje?
ππππMimi nilitolewa bikra kipindi tumemaliza kidato cha sita MSALATO -dodoma tunakwenda Dar es salaam, UDSM kufanya mtihani wa Mchujo, tukafika Dar, baada ya mtihani pale nkurumah Hall, tukaenda disko pale Mwenge ukumbi wa Silent Inn, ndio mara ya kwanza kunywa na kulewa, wakaka wakatuchukulia tax wakatupeleka na wasichana wengine 2 mpaka Gesti pale Ubungo Msewe, nakumbuka NILIUCHEZEA MPAKA ASUBUHI alafu nikarudi zangu BARIADI, , huyu jamaa anaitwa ALPHONCE anafanya kazi WIZARA MOJA ambayo haijahamia dodoma kama afisa mwajiri, hatujawahi kukumbushiana tena ila natamani gemu kama ile , tatizo ndoa, siwezi toka nje tena.