Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Pamoja na uwongo wake ililewa hata anachanwa hakujielewa jamaa litakua lilimwagia maji vuguvugu bila kujijuaWewe ni muongo!
HAKUNA mwanamke anayefurahia siku ya kwanza!!
Loool! jaji mfawidhi pole sana!! Nothing impossible Medically!! tena basi usiende mbali nurse wa Theatre tu! anakufanyia faster dkika sifuri unasepa zako! swafiii! ivi unajua maana ya plastic surgery?? ulishaona watu walio ungua mbaya kwa gari!! lkn wako njema??huwezi tengeneza bikra, ni kitu orijino hiyo.
Sio kwa hymen bro..sio rahis kihivyo na sio bongo...usitake mwaminisha mwenzio ujingaLoool! jaji mfawidhi pole sana!! Nothing impossible Medically!! tena basi usiende mbali nurse wa Theatre tu! anakufanyia faster dkika sifuri unasepa zako! swafiii! ivi unajua maana ya plastic surgery?? ulishaona watu walio ungua mbaya kwa gari!! lkn wako njema??
Hii Dunia iko kivingine sana mkuu!! unaishi wapi Baba! Hela yako tu!! na kujua mambo!! hkn kovu siku hizi ukiona mtu ana kovu ni maskini huyo!
Why that. Mimi niko early thirties sijawahi kutafuna bikra. Nilikutana na wawili sikuwa na future nao niliwaacha.Eti bikira kauchezea usiku kucha na kesho yake akaweza kusafiri kurudi bariadiπ, dume hili
Hata hivyo kwa kujibu mada yake mie namdharau sana mwanaume aliyetoa bikira, namuona km mtu flani hivi mwenye mtindio wa ubongo
Maana ya move on unaijua braza? Yani kusonga mbele na maisha Basi kuna watu tukisonga Ni mbele mwiko kurudi nyumaWhy that. Mimi niko early thirties sijawahi kutafuna bikra. Nilikutana na wawili sikuwa na future nao niliwaacha.
Ninaijua sister. Nina mtazamo tofauti wa hiki ninachoamini kimekufanya uwe na the so called "move on". Kwa ruhusa yako nitakisema.Maana ya move on unaijua braza? Yani kusonga mbele na maisha Basi kuna watu tukisonga Ni mbele mwiko kurudi nyuma
Aaaargggh we baki na unachoamini, Leta story zingine maana hata tukiendelea kujadili hii mambo haitabadili msimamo wangu juu ya kusonga mbele,Ninaijua sister. Nina mtazamo tofauti wa hiki ninachoamini kimekufanya uwe na the so called "move on". Kwa ruhusa yako nitakisema.
Mimi nilitolewa bikra kipindi tumemaliza kidato cha sita MSALATO -dodoma tunakwenda Dar es salaam, UDSM kufanya mtihani wa Mchujo, tukafika Dar, baada ya mtihani pale nkurumah Hall, tukaenda disko pale Mwenge ukumbi wa Silent Inn, ndio mara ya kwanza kunywa na kulewa, wakaka wakatuchukulia tax wakatupeleka na wasichana wengine 2 mpaka Gesti pale Ubungo Msewe, nakumbuka NILIUCHEZEA MPAKA ASUBUHI alafu nikarudi zangu BARIADI, , huyu jamaa anaitwa ALPHONCE anafanya kazi WIZARA MOJA ambayo haijahamia dodoma kama afisa mwajiri, hatujawahi kukumbushiana tena ila natamani gemu kama ile , tatizo ndoa, siwezi toka nje tena.
04-07-2021
Baada ya Wizara ya Alphonc kuhamia dodoma, yeye amepewa UKUU WA WILAYA moja huko Kaskazini, ana familia yake ila sitomsahau.
Eti Aaaargggh! Mkuu unajidai sana. Basi sawa tuendelee na stori za wadau.Aaaargggh we baki na unachoamini, Leta story zingine maana hata tukiendelea kujadili hii mambo haitabadili msimamo wangu juu ya kusonga mbele,
πππKwamba naringa ππ mwanamke maringo na kujiamini babu weee, πEti Aaaargggh! Mkuu unajidai sana. Basi sawa tuendelee na stori za wadau.
I have no objection dear Noelia na hili. Endelea tu kujiringia na maringo. Hata jina lako tu zuri.πππKwamba naringa ππ mwanamke maringo na kujiamini babu weee, π
Ndiyo, na mimba juu, na watoto wanaozaliwa kipindi mtu ndio anatolewa bikra huwa genious sana shule na hata kwa sura utawajua, hawana harara wala ngozi mbaya.Hv mtu anaweza kutolewa bikra siku hiyo hiyo akaendelea kufanya mapenzi na akainjoi mpka akaimis game hiyo, chai ya tangawiz hii
Kwa arguments zako, nimekubali, ila kwa bongoland [Tanganyika ] itakuwa ni ghali sana, kama kuna daktari anaweza fanya kurudisha bikra.Loool! jaji mfawidhi pole sana!! Nothing impossible Medically!! tena basi usiende mbali nurse wa Theatre tu! anakufanyia faster dkika sifuri unasepa zako! swafiii! ivi unajua maana ya plastic surgery?? ulishaona watu walio ungua mbaya kwa gari!! lkn wako njema??
Hii Dunia iko kivingine sana mkuu!! unaishi wapi Baba! Hela yako tu!! na kujua mambo!! hkn kovu siku hizi ukiona mtu ana kovu ni maskini huyo!
Mkuu km hujui sema tukwambie ni wapi!!! kwani Bongo unaionaje Mkuu?? wapo wapowapo ukibisha ni wewe lkn wapo tunaofanya nao!! tena siyo mbali na Ikulu!! haina tofauti na plastic surgery! au Cleft palate hawa watu siku hizi unawaona km zamani??Sio kwa hymen bro..sio rahis kihivyo na sio bongo...usitake mwaminisha mwenzio ujinga