Unamkumbuka Amrish puri?

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,606
Reaction score
4,914
Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?....


nawasilisha
 
Duh jamaa aki act adui hakuna anaemfikia ila kuna movie jina agneepath muigizaji sanjay dutt aliact adui duh hatar anaweza kucheza vizur akijitahid ila hamzidi amrish

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Alafu juzi nimetizama movie nzuri sana inaitwa table no 21 starring paresh rawal safi kweli ni kuhusu ragging kuwa ragging sio joke ni crime...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
weeee kubwa la maadui hilo....maadui wote wa movie za kihindi nilikuwa nawaita mzee Ashanti
 
Kanilia sana hamsini hamsini zangu huyu bwana...pia nilimchukia kwa dhati kwa udhalimu wake sikuhisi kama alikuwa mbele ya camera.
 
Mzee ASHANTI, picha ikiwa na " steringi" Amitha, ama "Mithuni" Adui mzee Ashanti huwa ni balaa
 
Amecheza muvi nyingi sana. Muvi ya kwanza kumuona ni andhaar kanoon ya amitabh bachan
 
Na huyu mzee alikuwa ni mtu wa watu sana katika maisha yake ya nje ya filamu,alikuwa mtu anaesaidia sana maskini India,
 
Duh jamaa aki act adui hakuna anaemfikia ila kuna movie jina agneepath muigizaji sanjay dutt aliact adui duh hatar anaweza kucheza vizur akijitahid ila hamzidi amrish

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Vipi nacheza vizuri sana kwenye ile VISHWATMA?,ndani iko na Sunny Deo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…