Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Habarini wadau,
Katika filamu ambayo niliipenda sana na kuangalia kwa zaidi ya mara 2 au 3 ni pamoja na TERMINATOR 2, The Judgement Day.
Kuna huyu Dogo aliyeitwa John ambaye alipenda sana kampani ya Arnold Schwarzenegger ingawa mama yake hakutaka kabisa mwanae awe naye karibu.
Nikiangalia picha ya yule dogo kwa sasa amebadilika sana, mbali na kukuwa ila pia utumiaji wa vilevi mbalimbali vimemuharibu.
Ule uhandsome akiwa mdogo haupo tena.
Mtazame hapa:
Sent using Jamii Forums mobile app