Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nilikuwa napenda ngoma yake ya bai show aliyowashirikisha Unique SistersNi Marc Dizzo,mchizi w da Skendo miaka ile ya 2000s,jamaa alikuwa anajua sana sema na yeye ndo dizaini ya Kina Jay Mo wakali sana ila nyota hawana..
Dizzo alikuwa member wa Dudu Baya,"Da Skendo" ambapo alipata kuhit na ngoma kama Sugar Mami ft Dully,Cheza nami,Nimuamini Nani,Jumba bovu,Mola Wangu etc
Ebana eeeh niliisahau hii ngoma,ilikuwa bonge la Hit...Baishooo....I luv baby....wangu wahubani.....talilalilaaa..... Bahati mbaya hili goma haliko youtubeNilikuwa napenda ngoma yake ya bai show aliyowashirikisha Unique Sisters
[emoji106]Nilikuwa napenda ngoma yake ya bai show aliyowashirikisha Unique Sisters
Mapozi ya dully sasa na hizo heleni,kofia dah hivi huyu jamaa yuko sawa kweli???
Kuna Tangazo la Pepsi Big naskia kama sauti yake jamaa anaimba flan hiviJamaa yupo na alitoa Nyimbo yake miaka kama mitatu iliyopita akiwashikirisha AY na FA inaitwa Nimwamini nani?
Anaonekana sana maeneo ya K.Koo kwa sana. Binafsi ni moja ya wasanii wa Hip Hop ninaowakubali kwenye Ushairi na kunata na beat..
Kuna track walifanya na Balozi Dola, Inspector Haroun na Imam Abbas inaitwa Homa ya Jiji. Jamaa anakipaji sana sema sijui tu anakwama wapi.
Mac Dizzo Halaaaahhhh!!
U r talking about 14yrs ago😁Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye bar ya mama yake inaitwa KBV ipo uwanja wa ndege njia ya kwenda karakata mwaka 2004.
Wewe ni mfuatiliaji mzuri wa hip hop ya bongo......Dah...ndo Mara ya mwisho kumsikia humo ndani...video yake ilikuwa Kali sana alisimamia Adam Juma dah....kuna ladha flan ivi ya kibongo tumeimiss now days....!!....Unaishi vipi Dizzo nimezungukwa na wachawiJamaa yupo na alitoa Nyimbo yake miaka kama mitatu iliyopita akiwashikirisha AY na FA inaitwa Nimwamini nani?
Anaonekana sana maeneo ya K.Koo kwa sana. Binafsi ni moja ya wasanii wa Hip Hop ninaowakubali kwenye Ushairi na kunata na beat..
Kuna track walifanya na Balozi Dola, Inspector Haroun na Imam Abbas inaitwa Homa ya Jiji. Jamaa anakipaji sana sema sijui tu anakwama wapi.
Mac Dizzo Halaaaahhhh!!