Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
kama filamu gani alishiriki kama cameraman?Kibakuli,saiv mkubwa mrefu ila sio mnene. Anajishughulisha katika sekta ya filamu (bongomovie)upande wa cameraman
kama filamu gani alishiriki kama cameraman?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ndio Kiba orijino sio yule wa lupela mzee wa kulalama!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ndio Kiba orijino sio yule wa lupela mzee wa kulalama!
FUKUTO by kibakuri!Kwa wale wapenzi wa tamthilia bila shaka huyu kijana si mgeni machoni penu ,swali je mnakumbuka?
Kama unamkumbuka embu nitajie ameigiza tamthilia ipi na kama nani?
Je kwa sasa yupo wapi, hivi hana udugu na mkude simba huyu?
View attachment 466737
uyu sidhan kama alikua kidedea.alikua na kina muhogo mchungu kwenye kipindi chao kilikuja kurushwa baada ya kidedea kama sikosei.kidedea kule walikua kina jenguaHuyo kibakuli
Kama sijakosea alikuwa kwenye igizo la kidedea
KibowlKwa wale wapenzi wa tamthilia bila shaka huyu kijana si mgeni machoni penu ,swali je mnakumbuka?
Kama unamkumbuka embu nitajie ameigiza tamthilia ipi na kama nani?
Je kwa sasa yupo wapi, hivi hana udugu na mkude simba huyu?
View attachment 466737