Unamkumbuka huyu?

Huyu dada kama vile kuna mahali nilimuona lakini sikumbuki mmhh kaza buti twende.
 
Sasa Fide mbona husemi kitu chote chote? Mimi bado sijakuelewa . Ndio Nsia Swai alikuwa na umaarufu gani na sasa yuko wapi na anafanya nini?
Wengi tulikuwa mikoani baada ya kustaafu sasa tumekuja mjini tunasikia huku ukiwa na bongo noti unazipata reagrdless ya umri. Haya sema chacha.
 
Hivi hizi dark glasses na usiku tororo hii inakaa vipi wadau????
 
Preta Preta Preta.........mi nimekaa kimya tu mwenzio!!!

Hahaaaaaaaaa.....kwa nini?......Asante though...

nakufagilia kwa ajili ya memory yako...mimi toka ze nanihii ife na memory ikafutika ndio maana sijamkumbuka...au angekuwa hajavaa mavazi ningemjua maana nilizoea kumuona hivyo
 
nakufagilia kwa ajili ya memory yako...mimi toka ze nanihii ife na memory ikafutika ndio maana sijamkumbuka...au angekuwa hajavaa mavazi ningemjua maana nilizoea kumuona hivyo

hahaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!! wakwetu we kiboko, umezoea kumuona 'natural' sio???!!!!
 
Huyu dada kama vile kuna mahali nilimuona lakini sikumbuki mmhh kaza buti twende.

kadogooo, fashion beats the weather wenyewe wanasemaga sasa hapa naona ili-beat ze time!!!
 
kuna kitu sijakielewa shem...huyu huko kafikajefikaje? au kuwa maarufu haijalishi umekuwa kwa mtindo upi...maana umaarufu wake huyu nae...mmhh

Alialikwa kwenye miss Voda kama jaji kutokana na umaarufu alio jizolea akala shavu.
 
Na waliomualika walikuwa na ajenda naye ya siri. lkn mtoto kaumbika ingawa sura amekosa hahahahahaha zile picha zake wakati wa Ze utamu jana tu hapa kwa ofisi watu walikuwa wanatumiana hahahahahahaha
 
Fani ya urembo aliianza long time angalia pozi lake hapahttp://4.bp.blogspot.com/_oUNxgUf0_Pg/SXCaDGa1O_I/AAAAAAAAAoY/3461C7QX0Fk/s1600-h/图片1.jpg



gademu afu katundika na rozari hapo pemebeni..............dah
 
gademu afu katundika na rozari hapo pemebeni..............dah

Hahahaha mtoto kawiva kweli.
Naona siku hizi kapungua tofauti na enzi hizo naona anamaintain.
 
eeeh baba Eno, kumbe njia za kutoka zipo nyingi.......

Si umeona mpaka Voda wanampa madili ya ujaji huyu ni prisendabo alitikisa vyombo mbalimbali vya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…