Unamkumbuka Jiti na wimbo wake ndoto tata?

Haha nimekumbuka mbali aisee,
Sijui waziri sonyo yuko wapi aisee?
 
Dah jamaa umepost video nilikua naisaka sana hii yan umenikumbusha mbali mi nilizani aliimbaga sugu kumbe jiti yani 100
 
kuna ngoma moja ya jamaa anaitwa sijui "ocg" ngoma inaitwa kazeze, gonjwa hii limetuletea kizazaa kasheshe ni kazeze gumzo, kibisa kapiga raba mtotoni ...nimesahau mistari
 
Hahahaa... enzi hizo!! Skonga bila begi la mgongoni hakuendeki hadi tumekuwa watumwa wa mabegi hadi uzeeni! Halafu wanashangaa kwanini wanaume wa dar wanapenda kubeba mabegi hata kama hayana kitu!! Ndiyo... mimi mmoja wao!
  • Miaka 3 - 5 unabeba mabegi chekechea
  • 5/6/7 - 13/14/15 unabeba mabegi kuanzia darasa la 1 hadi la 7
  • 16/17/18/19 unabeba mabegi kuanzia form I hadi Form IV
  • 19/20/21 Unabeba mabegi form V & VI
  • Baada ya hapo unabeba mabegi kuanzia first year chuo hadi 3/4/5th year... what do you expect!!!
 
Asee ubunifu uliotumika ni wa hali ya juu kwa kipindi kile.
 
kuna wimbo UNAITWA wagambo tuheshimiwe tuthaminiwe kama sikumbuki vizur dah kama kuna mtu anao naomba anitumie washkaji.....hapa 0759 058 506
 
kuna ngoma moja ya jamaa anaitwa sijui "ocg" ngoma inaitwa kazeze, gonjwa hii limetuletea kizazaa kasheshe ni kazeze gumzo, kibisa kapiga raba mtotoni ...nimesahau mistari
Alikuwa anajiita OCD alikuwa Chuo Mlimani nasikia Ali disco...
 
"Ni ndootoo ya ukweelii..siwezi kuitafsiri ndoto hii jamani ya ukweli"..Video yake ilikua inanitisha sana daah.!!
 
Daah umenikumbusha mbali sana. .jamaa Alikuwaga ni mchoraji maarufu yule..akaja kutoka na hiyo ngoma ili hit ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…