Kwani ulichokiandika kilikuwa cha uongo mpaka uingie wasiwasi zama hizi ?...Mkuu Proved , usikumbushie hizi posts za jf ile ya 2008, wengine saa hizi ni makada watiifu wa chama, sasa ukifukua tuliwahi kusema nini kule nyuma, unaweza kutuponza tuitwe wahaini!.
P
... Those daysRev.Kishoka,
..kwa kweli wanasiasa na hao mnaowaita intellectuals wananiboa kwelikweli.
..the fact kwamba watu kama hao have some prominence in our country, is the reason for our being underdeveloped.
..kwanini nchi hii haina inventors? kwanini hatuna enterpreneurs? kwanini hatuna industrial captains? kwanini hatuna enviromentalists?
..nchi imejaa wanasiasa kila kona. ghrrrrrr!!!!!
NB:
..Maalimu Seif angekuwa na subira akamsaidia Sheikh Idris Abdul-Wakil Nombe nina hakika angekuja ukwaa Uraisi wa ZNZ, na baadaye Muungano.
Mambo yote ninayoandika jf ni kweli, mfano niliwahi kusema ukweli kuhusu chanzo cha umasikini wa taifa hili ni nani, that was then, leo mimi ni kada, ukiweka post yangu mfano huko nyuma niliwahi kuuliza Hivi Kweli Kuna Mtanzania, Mwenye Akili Zake Timamu, Anaweza Kuichagua Tena CCM?!. Kwa Lipi?!.Kwani ulichokiandika kilikuwa cha uongo mpaka uingie wasiwasi zama hizi ?...
Babu alikuwa kichwa sana... Tanzania ilikuwa na watu wengi sana vichwa, lakin Nyerere alijitahid kuwa undermine ili yeye ndo aonekane bora. Akiwafunga, kuwaweka vizuizini huko vijijini na wengine wakikimbilia uhamishoni. Nyerere mtu mbaya sanaGT,
Babu hatasahaulika just for the fact that he was an intellectual who put his intellect to work. Alijitahidi kuandika vitabu na hivi vitasaidia kuweka historia yake. Unlike Kambona ambaye aliishi Uingereza God knows kwa miaka mingapi. Alishindwa kuandika hata kitabu kimoja tu kuelezea tofauti kati yake na Nyerere. By the way Babu was also a friend so I am a bit biased.
Nyerere ni mtu muovu sana na alipenda uungu mtu. Japo alikuwa anajifanya anaweza kubali maamuzi yanayotokana na vikao.. uongo. Alikuwa hapendi watu wenye akili kuzidi yeye, alikuwa anapenda watu kama kina kawawaBabu alishamiri, na kupewa nafasi ya kuongoza, hadi alipotofautiana na Nyerere. Nadhani kiongozi pekee aliyewahi kutofautiana na Nyerere na asiangamizwe ni Mtei. Wengine wote (Kasanga Tumbo, Chief Fundkira, Kassim Hanga, Oscar Kambona, Babu) walikiona cha moto. Kati ya hao, Kasanga Tumbo ndiye aliumizwa na Mwalimu zaidi (Kassim Hanga alitokomezwa na Karume).
Somo hapa ni hili: Babu hakumwelewa Mwalimu? Na ilikuwaje Mwalimu alikuwa anasema hataki "yes men", lakini hakuvumilia mtu yoyote ambaye si "yes man"?
Wewe kila mahali unaona ni sehemu ya kujisifu na kuweka makala zako ambazo haziendani na mada! Hizo uzi zako zote hapo ni ipi inamzungumzia Babu? Watu tunamjadili Babu wewe unaleta mambo yako ya kujisifu hapa!Mambo yote ninayoandika jf ni kweli, mfano niliwahi kusema ukweli kuhusu chanzo cha umasikini wa taifa hili ni nani, that was then, leo mimi ni kada, ukiweka post yangu mfano huko nyuma niliwahi kuuliza Hivi Kweli Kuna Mtanzania, Mwenye Akili Zake Timamu, Anaweza Kuichagua Tena CCM?!. Kwa Lipi?!.
Pia Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali?
Pia Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?!
Pia Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Vyote hivyo ni kweli, ila ukikumbushia Kwa Leo, watakaosoma leo wataona nimesema Leo!.
P
Nyerere ni mmoja ya Marais wachache wenye akili ambaye Tanzania ilipata. Na ni ngumu kuja mpata mtu kama yeye tena.Nyerere ni mtu muovu sana na alipenda uungu mtu. Japo alikuwa anajifanya anaweza kubali maamuzi yanayotokana na vikao.. uongo. Alikuwa hapendi watu wenye akili kuzidi yeye, alikuwa anapenda watu kama kina kawawa
Akili ipi ya kuidumbukiza nchi kwenye umasikini wa kutupwa, watu walivaa kaniki, sabuni walitumia majani ya mpapai, sukari ilikuwa ni anasa!Nyerere ni mmoja ya Marais wachache wenye akili ambaye Tanzania ilipata. Na ni ngumu kuja mpata mtu kama yeye tena.
Hii thread imenitoa machozi. Imenirudisha nyuma siku za Jambo Forum na hawa magwiji wakitoa busara zao hapa jamvini. Enzi hizo hakuna smart phone za kuuza kwa mafungu Kariakoo na watu weledi tu waliokuwa wana access na computer zenye Internet. Na wewe ulikuwa ulikuwa unatumia ile ID ya ''Pasco'' na hukuwa unajitoa ufahamu kama sasa.Mambo yote ninayoandika jf ni kweli, mfano niliwahi kusema ukweli kuhusu chanzo cha umasikini wa taifa hili ni nani, that was then, leo mimi ni kada, ukiweka post yangu mfano huko nyuma niliwahi kuuliza Hivi Kweli Kuna Mtanzania, Mwenye Akili Zake Timamu, Anaweza Kuichagua Tena CCM?!. Kwa Lipi?!.
Pia Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali?
Pia Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?!
Pia Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Vyote hivyo ni kweli, ila ukikumbushia Kwa Leo, watakaosoma leo wataona nimesema Leo!.
P
Unasimuliwa halafu hata huchanganyi na akili zako. Huelewi lolote maskini. Ninyi kwa nini hampendi shule kabisa?Akili ipi ya kuidumbukiza nchi kwenye umasikini wa kutupwa, watu walivaa kaniki, sabuni walitumia majani ya mpapai, sukari ilikuwa ni anasa!
Pole, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time, place and circumstances. We are living in a jungle, the laws of the jungle applies, it's a constant struggle for existence, and the survival is only for the fittest, to be fit and survives you have to adapt to the changing environments. I'm a survival ndio maana nipo mpaka leo. Count wangapi wa Jambo Forum tuko nao mpaka leo?.Hii thread imenitoa machozi. Imenirudisha nyuma siku za Jambo Forum na hawa magwiji wakitoa busara zao hapa jamvini. Enzi hizo hakuna smart phone za kuuza kwa mafungu Kariakoo na watu weledi tu waliokuwa wana access na computer zenye Internet. Na wewe ulikuwa ulikuwa unatumia ile ID ya ''Pasco'' na hukuwa unajitoa ufahamu kama sasa.
Nasimuliwa wakati nilikuwa naona. We ni choko nini?Unasimuliwa halafu hata huchanganyi na akili zako. Huelewi lolote maskini. Ninyi kwa nini hampendi shule kabisa?
Mwalimu regret it's decision to hand over Hanga to Karume, he didn't want to repeat the same mistake to BabuJasusi,
Mimi nielewavyo (and I stand to be corrected), Kassanga Tumbo alisimama kupingana na Mwalimu katika Uchaguzi Mkuu (1960 or 1961?) na akashindwa. Hicho ndicho kilimfanya Mwalimu amtokomezee Kasanga Tumbo Sumbawanga kwa miaka 10. Is that not so? I am not quite sure about this part of our History!
Abdallah Fundikira was also banished to the South for some time, by Mwalimu, or was he not? It was a time when Mwalimu was developing a GULAG mentality, and Sumbawaga seemed to be the perfect place for our very own Gulag.
Shed some light on these matters, if you can. I would particularly like to know whether anyone else was ever banished to Sumbawanga by Mwalimu.
Bila shaka ni sahihi kwamba Mwalimu aliokoa Maisha ya Babu. Mwalimu had a deep respect for life. He knew that the old sailor, Karume, would kill Babu if he was returned to Zanzibar. That, unfortunately, does not seem to have been enough to stop the same Mwalimu from handing Kassim Hanga over to sure death at the hands of Karume.