Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Maestro Rally Bwalya (Left footer magician), anayejulikana kwa uwezo wake wa mguu wa kushoto, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake na klabu ya Pamba Jiji ya Mwanza.
Bwalya, ambaye kwa sasa anaitumikia Napsa Stars ya Ligi yao ya Zambia, anatarajiwa kujiunga na timu hiyo ya Tanzania mara baada ya maofisa wa Pamba Jiji kusafiri hadi Zambia kukamilisha taratibu za mwisho za dili hilo.