Tetesi: Unamkumbuka Left footer magician? Rally Bwalya anakaribia kutua Pamba Jiji ya Mwanza

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Maestro Rally Bwalya (Left footer magician), anayejulikana kwa uwezo wake wa mguu wa kushoto, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake na klabu ya Pamba Jiji ya Mwanza.

Bwalya, ambaye kwa sasa anaitumikia Napsa Stars ya Ligi yao ya Zambia, anatarajiwa kujiunga na timu hiyo ya Tanzania mara baada ya maofisa wa Pamba Jiji kusafiri hadi Zambia kukamilisha taratibu za mwisho za dili hilo.
 
Baadae ataenda Yanga kwa mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…