Majukumu ya ndoa tu,... Afu si kila mwanamziki ana target kufanya muziki maisha yake yote, wengine hufanya kama hobby tu au kazi ya ziada, so kuwa kumya kwa muda mrefu si kwamba kapotea kwenye fani bali maamuzi ya mtu maana hatujui yeye anawaza nini na anapanga nini
Jamaa anakipaji cha kuzaliwa,alitoa album akiwa form six,na umaarufu haukumfanya apoteze malengo yake,aliendelea na chuo,akaoa na kushika uelekeo anaoutaka.Kuwa mwanamziki hayakuwa malengo ya Lawrence Malima,ila tunammiss sana.