Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

Hoja yako kama vile ina make sense,kwa nini ukabili username?
 
Mwinyikazimoto, mkude, kapombe, uhuru selemani, Juma kaseja, haruna Moshi boban
 
Katikati ya Uhuru Suleiman na Mwinyi Kazimoto kuna beki mmoja anaitwa Haruna Shamte
 
Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu.

Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

Kapombe yupo bado.

Yani huyu akikutana na winger ambayo yupo very technical anashidwa kumkaba kabisa.
Sijajua kwanini Simba wanaendelea kubaki nae isee.
CAPO DELGADO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…