Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

Wewe uliyenichukulia demu wangu niliyekuwa nampenda kabisa kipindi tupo sekondari kisa ulikuwa kiranja wa Chakula, maisha yanaendaje hapo GHALA LA CHAKULA LA TAIFA😡😡😡
😂😂😂
 
I met my first love 15 years ago when I was in secondary, we are still holding each other and looking after our kids, explaining priceless moments back then, I will write the page.
 
🤣🤣🤣
 
Wa kuitwa Godfrey, yule kaka alinipenda sana nikiri hadi ukubwani hakuna mwanaume alieonesha upendo kwangu kama yeye shida mimi sikumpenda kihivyo sijuagi ni utoto ama nini. Alikua ananisaidia sana kwenye kusoma mana kichwani alikua njema , namkumbuka sana kwa upendo wake na namna alivyokua ananijali.
 
Form two hadi mtu kasquirt [emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…