unamkumbuka Mwl yupi shuleni/chuoni kwako ayekuwa na tabia ya 'ajabu'??


eeh! R. I. P
 

madam nani? Shule gani? Alikuwa kaolewa?
 

Hahahaaaaa. Huyu ni mwl Mpande, e bwana eeee huyu alikuwa kiboko! Kusimamia nidhamu yeye, mchakamchaka yeye, akikuta mjini unaye, ukikorofishana na kiranja unaye.

Yaani yeye alikuwa mwl wa zamu fulltime.

Kutokana na kutusumbua kukimbia mchakamchaka kila siku, siku moja tukiwa form six tuliamka saa nane usiku, tukawa tunakimbia kuzunguka nyumba ya headmaster huku tukiimba kwa sauti. Tulizunguka kama mara ishirini hivi. Asubuhi yake ilikuwa ni noma, maana headmaster alimaind akatuambia tukimbie huku akitufuata kwa gari.

Mpande alikuwa ni zaidi ya headmaster ingawa hakuwa, yaani kila kitu yeye.

Sitasahau adhabu zake za kuwachukua wanafunzi wa korofi hasa form one, anawapakia kwenye gari na kuwapeleka stand ya bus, huku akiwachimba mkwara: unajifanya mjanja, unarudi kwenu! Anaongea na makondakta, dogo anakatiwa ticket fake halafu anaambiwa subiri gari.

Madogo walikuwa wanasubiri hapo stand weee mpaka saa 12 jioni, halafu baadaye anamrudisha shuleni. Dogo akifanyiwa hivyo harudii tena Kosa.

Bweni alilotegwa umeme nadhani ni Dom 35, Karume.
 
aaaaa Ngui weeee aka baba kadoda wa pale mkwawa..nakumbuka ulivokuwa unajificha kwenye mahindi kutuvizia tukiwa tunatoka makanyagio kununua maandazi kwa mama Amuru.....
 

Hii kiboko, nipe vyatu vya mama!
 
aah mitatzo bado nasoma af tchr mwnyw yupo JF nktaja features zake 2 lazma ajsh2kie af ansake na ctk zake n 8>40.. Hyo x~tcs 1wapo

Mungu wa Islael! Kweli unasoma,msalimie ticha.
 

mpande mzee wa panda juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…