Unamkumbuka nani katika kikosi hiki cha Ghana (Black Stars)

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Hiki ni kikosi cha Ghana kilichoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2010 pale bondeni South Africa na safari yao ilisitishwa robo fainali na Uruguay baada ya Luis Suarez kudaka mpira uliokuwa unaenda wavuni. Je unawakumbuka?
 
Boaten asamoah gyan na kipa aliitwa Johnson km sikosei....



Ilikuwa moto mno..Suarez alifanya Yake.
 
Kelvin boateng daah jamaa alikuwa hatare ila na gyan,na ayew
 
Apo kuna mtu mmoja amekosekana. Tunamwita Ustaadh

Nani anamkumbuka. JAmaa alikua fundi wa ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…