Huyo akiwa tajiri atafunga sabufa kwenye gari. Akele watu njianiNina jirani yangu akizipata helaa, aisee qnapiga muziki mkubwa na makelele kibao, akiishiwa sasa, ni full vizinga ohhh bro nipo vibaya wanangu hawana mboga wa unga....Pumbavuu.
Bila kuwasahau wanaume wanaolialia kuwa wanawake hawana bikira kisha matokeo yake huishia kuoa hao hao masingle motherNa mfano bora wa uzi wako ni hawa single mothers
Kuna masingle mother wa ovyo,kuna dem alikuwa ananihadithia mpaka analia jinsi baba mtoto wake anavyomtesa na alivyo malaya na hata matumizi hatoi.baada ya miezi 6 nikamkuta ana mimba ya the same man.nikawaza tu She deserve itNa mfano bora wa uzi wako ni hawa single mothers
Maisha yamebadilika sana wenye roho za kusaidia siku hizi wanaitwa wajinga na hawajielewi. Jaribu tu kumtoa kwenye shida mwanamke ataanza kusimulia wenzake kuwa kapata mjinga mmoja anamchuna. Hata kuclear bill bar kwa washikaji siku hizi unaonekana mjinga.“Yah, they deserve it”, this is the final moment when you realize someone is living his/ her consequences. You may not stop showing compassion to person but purely understand why they live the life that they are living.
Matokeo ya matendo yake mwenyewe km tabia mbya, kiburi, jeuri, fitna, usaliti n.k
Ni ngumu, lakini inafika hatua inabidi tu uamini kua kuna watu wako katika hali ngumu na hakuna budi, bali wateseke tu.