mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Habari!
Sarafu mtandao, almaarufu cryptocurrency, ni aina ya teknolojia mtandao inayokua kwa kasi ya ajabu.
Hii imevutia wengi wa vijana kuvutiwa nayo na hivyo kutafuta wafundishaji, yaani mentors, ili wawafundishe namna ya kunufaika na teknolojia hii kupitia TRADING.
Visa vya utapeli vimekuwa vikihusishwa kwa kiasi kikubwa na biashara hii.
Ukizingatia zaidi ya 98% ya wafanyabiashara hii kuwa WATU waliokwenda SHULE, una lipi la kumshauri beginner anayetaka kujua namna ya kufanya TRADING?
a. Atafute mentor?
b. Asitafute mentor (ajifunze mwenyewe)?
Karibuni sana.
NB:
I merely know only about 1% of cryptocurrency.