GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Wanawake mbona mmekosa huruma namna hii?
Yaani kabisa unaenda kununua shoka kisha unainoa vizuri kabisa kwa lengo la kumtwanganalo mumeo?
Tukio hili la manyara limenisikitisha sana. Imefikia hatua wanaume tumegeuzwa kuni kweli!
Ungana na Mimi kupinga vitendo vya kinyama tunavyofanyiwa na wanawake.
Tunawaambia wanawake kuwa sisi wanaume sio matanuri ya kutuchoma moto pia sisi sio kuni za kukatwa na shoka.
MAPENZI SIO UGAIDI