BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
You're very intelligent [emoji122][emoji122][emoji122]Ndo muwe mnaoa wanawake ambao wamegusa hata form four,hawa wengine huwa wakipata bwana hawajui kuwa kuna kuachana.Chunguza matukio yote utagundua wanaohusika hawana elimu yoyote,maana elimu siyo kupata kaz tu elimu ni kuelimika pia ili uweze kuishi na jamii
Ha ha haNikiwaza kuhusu usaliti naona picha yake inaniambia "amani ya bwana na iamue ndani yako"[emoji28]
Stay bleesed momYou're very intelligent [emoji122][emoji122][emoji122]
Mbona Neema Mushi ana degree ya psychology na bado akamtia mtu kiberiti?Ndo muwe mnaoa wanawake ambao wamegusa hata form four,hawa wengine huwa wakipata bwana hawajui kuwa kuna kuachana.Chunguza matukio yote utagundua wanaohusika hawana elimu yoyote,maana elimu siyo kupata kaz tu elimu ni kuelimika pia ili uweze kuishi na jamii
Mbona Neema Mushi ana degree ya psychology na bado akamtia mtu kiberiti?
Shangaaa na wewe[emoji16][emoji16][emoji16]Yule Muuza Kongoro wa Mbezi?!
Kama wanashindwa kujizuia kuchepuka na wasioeNadhani level ya Unyama aliofikia Mwanamke kwa sasa inatisha, hasa wakibongo.
Hivi suala la kufumania ndiyo hukumu yake iwe kuua tena kwa kumkata shoka Mumeo?
Mambo haya kama hatua stahiki hazitachukuliwa litaleta madhara makubwa siku za usoni. Vijana wataogopa kuoa kabisa kwa kuogopa vifo vya namna hiyo
Liverpool VPN
Hakuna adhabu nyingine mpaka kuuana?Kama wanashindwa kujizuia kuchepuka na wasioe
TULINDWE NA WANAWAKE?Nashauri wanaume walindwe....
Mbona wewe hukuwa na huruma ulivyompa yule naniliu 7800?
Hebu tusipangiane matumizi ya huruma bhana
To yeye weweee..Ndo muwe mnaoa wanawake ambao wamegusa hata form four,hawa wengine huwa wakipata bwana hawajui kuwa kuna kuachana.Chunguza matukio yote utagundua wanaohusika hawana elimu yoyote,maana elimu siyo kupata kaz tu elimu ni kuelimika pia ili uweze kuishi na jamii
Vyovyote ilmradi mpewe ulinzi maalumuTULINDWE NA WANAWAKE?