Unamuelewa Mbwana Samatta?

Leo watu wapo busy na mafisadi waliokuwa ccm kukabidhiwa rasmi chama cha chadema
 
Leo watu wapo busy na mafisadi waliokuwa ccm kukabidhiwa rasmi chama cha chadema
ttzo una changanya mambo mwisho wa cku hata ww una changanyikiwa
 
Tupieni tuu humu wakuu maana TFF pale wanatunza kumbukumbu za mapato na si rekodi za wachezaji.
 
Tupieni tuu humu wakuu maana TFF pale wanatunza kumbukumbu za mapato na si rekodi za wachezaji.
Na kweli mkuu..... Nimetafta hata vids nyingi nakosa... Ukitafta video za tff nyingi ni za majungu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…