Unamuitaje Boyfriend/Girlfriend wako?

bryleen

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
90
Reaction score
24
haya hebu mniambie unamuitaje huyo wako wa moyo maana majina ni mengi nwdays
 
Dah nipo under 18, lakini jana nilikuwa maeneo ya msasani, jamaa ni mlokole wa kupindukia alikuwa anaongea na mkewe kwenye simu akamwita MTUMISHI, mpaka nikamuuliza inakuwaje kaka? akaseme mbona yeye huwa ananiita MPENDWA?
 
sweetdarling......
honeypie....
mpenzi...
kichuda...
chunchudu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…