Unamuitaje Boyfriend/Girlfriend wako?

Lizzy<br />
Husninyo<br />
Donda ndugu
<br />
<br />
hahahahaha! Kati ya wote wewe ndio umetisha. Yaaani mpenzi wako unamuita lizzy husninyo donda ndugu!! Khaaa.
 
Sijui kwa nini sipendi kumuita sijui love,mpenzi, darling,habibi,ayooun.sijui ya umri, namuita Wangu na yeye ananita Wangu mara chache sana kuitana sweety,naona wizi mtupu majina mengine....
 
Dah nipo under 18, lakini jana nilikuwa maeneo ya msasani, jamaa ni mlokole wa kupindukia alikuwa anaongea na mkewe kwenye simu akamwita MTUMISHI, mpaka nikamuuliza inakuwaje kaka? akaseme mbona yeye huwa ananiita MPENDWA?
Under 18 DHW Pangejufaa sana pole Imekufa,humu kama utakomaa mapema vile anyway sheria za hapa pengine zinaruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…