Mkuu,
Mbona wameulizwa wenye GF/BF? Hivi mke au mume ni BF/GF???
Nadhani tuwaachie watoto wafanye mazoezi ya kubadili rika!!
AfroDenzi....haya hebu mniambie unamuitaje huyo wako wa moyo maana majina ni mengi nwdays
mama watoto.
my love,
la aziz...
Under 18 DHW Pangejufaa sana pole Imekufa,humu kama utakomaa mapema vile anyway sheria za hapa pengine zinaruhusu.
mama watoto.
my love,
la aziz...
Laaazizi nyonga mkalia figo...
Dah! Mi wangu namwita King'astiSP (special project), maswali hayaruhusiwi
Waacheni Watoto wadogo waje KwanguAende Facebook kwa wauza sura. Under 18 kibao kule...