Unamuomba Mungu maisha marefu wakati huna pesa utakula nini?

Unamuomba Mungu maisha marefu wakati huna pesa utakula nini?

Ford Rwahura

Member
Joined
Apr 6, 2020
Posts
31
Reaction score
27
Huna kazi, huna biashara, huna urithi, huna pesa, hujasoma UDSM, huna ujuzi wowote, huna mzazi tajiri, huna kipaji halafu unamuomba Mungu akupe maisha marefu, sasa utakula nini?
 
Kula ili tuishi
Ford Rwahura umesikia mdau alivyosema? Wewe unasemaje? Kinachotangulia ni chakula au maisha! Kama unaanza kuishi kabla ya chakula, basi uwe na uhakika huyo anayekuwezesha kuishi atakupa chakula! Kinyume chake haiwezekani kwamba unakula ili uishi??? Mmmh? Chakula hakina uwezekano wa aina yoyote kukupa uhakika wa maisha! Kwahiyo hata kama huna vyote mleta uzi alivyovitaja ukimuomba Mungu utapata maisha!
 
Huna kazi, huna biashara, huna urithi, huna pesa, hujasoma UDSM, huna ujuzi wowote, huna mzazi tajiri, huna kipaji halafu unamuomba Mungu akupe maisha marefu, sasa utakula nini?
Life is Dynamic not Static.......
 
Kwenye hizo huna zako, umesahau huna moja muhimu..... ikiwa HUNA AKILI.
 
Hata kushuhudia yanayoendelea nayo ni furaha.
 
Unakula hata jalalani huko unakua chizi mazima,mbona vichaa wanaishi
 
Mbona watu tunashindia kahawa na kashata na fresh tu siku zinaenda.......
1002138812.jpg
 
Back
Top Bottom