Unamwitaje MTU TAPELI, ambae anakupa huduma ndio utume pesa?

Unamwitaje MTU TAPELI, ambae anakupa huduma ndio utume pesa?

Vitz06

New Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
4
Reaction score
38
Hii inafikirisha Sana, mtu anatoa sadaka Mali Yake kwa Mali kauli, anakupa huduma, unaiona pesa hutumi na bado unamwita tapeli?

Watanzania tunafail Sana. Tubadilike, maisha kwa Sasa yamehamia mtandaoni. Na ili ufanikiwe inabidi uwe mwaminifu wa Mali ya mtu.

Maneno maneno na kuharibiana biashara sio mazuri hata kidogo.

Unaambiwa kabisa, utalipia ukipata huduma na kuridhika nayo, wewe una comment ACHA UTAPELI, seriously
 
Unatakiwa kuwa na moyo wenye uvumilivu mkuu,heri umeitwa tapeli ngoja matapeli wenyewe wakusogelee kwenye hiyo biashara yako!.
Kupingwa kitu cha kawaida sana na wengine wanapinga just kukuona unajimudu kihisia kwa kiasi gani!
 
Angalia mzee wasije kukutapeli wewe tu, wabongo sisi akili zetu tunazijua wenyewe
 
ule uzi wa lugano na jimmygatete ndo umefutwa au imekuwaje, heading si ilikuwa ni hii hii na mwenye uzi ni lugano. Hawa mod washaifanya JF choo cha stend yani mambo ni shaghala baghala.
 
Back
Top Bottom