ila wanawake wamekariri hiyo kauli
Kama ni utupu hata mimi si nimeona wa kwako....ngoma droo! kauli kama hizi za kujilegeza ndo zinazowapa kichwa wanaume na kuona kweli wanawake ndo huumia kama mkibreak mapema......
kwahiyo anaogopa atamiss nini?Ukiona hivyo ujue yeye bado anataka, tena anataka dudu tu, hamna jingine.
Mi kauli hizo huwa nazimaliza kwa kula mzigo tena, na sikunyingine akitaka namtafuna tena, hata kama uhusiano wetu ulishakwisha.