Unaniacha kwa vile umepata unachokitaka.

umeeongea point leo big up
Kama ni utupu hata mimi si nimeona wa kwako....ngoma droo! kauli kama hizi za kujilegeza ndo zinazowapa kichwa wanaume na kuona kweli wanawake ndo huumia kama mkibreak mapema......
 

mkuu umeyasema niliyoambiwa mimi
 

Haya ndo maneno...me nakumbuka eti mmoja alijifanya kuntishia eti anaoa nikamjibu sawa hakuna tabu...akajibu eti simpendi ..nkamuuliza why...akajibu why nimruhusu aoe....nikamjibu moja ya namna ya kushow love ni kumuacha umpendae awe na furaha, so kama kuwa na furaha kwake ni kumuoa hyo anayemtaka ni powa....!! akabaki anajilalamikia..., so hawa viumbe ni kujifanya mgumu hata kama umeumia....hakuna kulegea
 
Hayo ni maneno ambayo ni sehemu ya michezo ya kitoto!!

watu wazima huongea kama alivyo sema Mrembo by Nature hapa chini!!


 

mimi penda hii.
 
Aisee inakera sana, aliponiambia hivyo me nilimjibu "potelea mbali utakavyoamua kusema vyovyote wewe sema tu...!"
 
mimi penda hii.

Hiyo ilimuuma si kidogo......!!alitaka nilegee nimjibu ooohh ujue nitakufa, siwezi ishi bila wewe nakadhalika......Lazima ifike mahali wanaume na wanawake wajue kwamba love is two way, na si kwamba wanawake peke yao ndo wako vulnerable kwenye love...,
 
Mrembo by Nature,wanawake wangefanya kama ulivyosema wanaume tungenyooka!

Kweli kabisa, mimi ni mmojawapo niliyekuwa na kauli kama hizo, nimelizwa sana tu...lakini ikafika mahali nikasema nitalia hadi lini...nikapiga moyo konde na nikauvaa ushujaa. Ukweli ni kwamba wanaume pia wanaumia sana pale wanapokuumiza kwa makusudi alafu uoneshe ujasiri..... kwanza anakuona kama msanii japo sivyo! hebu fikiria wewe unamuonesha mtu huzuni zako ambaye hata hakujali tena.....ni bora ujifanye hujaumia mbele yake ili usimpe faida!!mimi huu ndio wimbo wangu cku hzi hata kama ninaumia moyoni
 
F.E.A.R=f**k everything and run
 
Mwingine utakuta anakwambia baada ya kunichakaza ndo unaniacha! hapo mtu unajiuliza hivi ni kiungo gani chake nilichokichakaza, maana ukimuangalia bado anaonekana ni wa kawaida tu
 
Mrembo by Nature nimependa ujasiri wako!

Hii dunia sio fair na hata watu wake hawako fair, usipokuwa jasiri utakufa siku si zako alafu mwenzako anabaki anadunda! mfano kanumba...wivu kwa demu mwisho akdondoka kajifia...lulu keshokutwa kesi inaisha anarudi mtaani kudunda...! wenye hasara hapo hata sio lulu ni ndugu zake ambao walikuwa wanamtegemea..... cheza kwa step..hii dunia sio kabisaaa
 
Nafuu hiyo mkuu kuna wanayosema umenichezea sasa umenichoka ndo najiuliza kama mimi nimekuchezea wewe hujanichezea.Hii jinsia kukaa nayo unahitaji uvumilivu sana

Kama huna uvumilivu wa kukaa na jinsia ya kike si ukae na ya kiume tu? Haha haha haaaaaaaaaa!
 
Mwingine utakuta anakwambiabaada ya kunichakaza ndo unaniacha! hapo mtu unajiuliza hivi ni kiungo gani chake nilichokichakaza, maana ukimuangalia bado anaonekana ni wa kawaida tu

Ndyokoooooooooooooooooooo! Mvishe huyo dogo nguo kwanza ndio nitakuambia unachokuwa umemchakaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…