Unanifaa sana

Unanifaa sana

Mboga saba hiyo.. Wife anaupenda sana huo wimbo.
 
Nahisi hii dedicaticion ni yangu, ila tu amesahau ku"tag".
 
Nilipiga goti kwa Mungu
Na dua ikafika
Haya maisha yangu
Ukaridhikaaaa.
Unanifaa saana
Nasikia raaaahaaa.
Nnachompenda hajui kujivuna.
Sio kuwa karidhika
Sababu ni kuwa unachunika
Japo watia shaka
Hata kama hawajambaka
Tuliza yako mizuka
Kabla hapajapambazuka
 
Back
Top Bottom